Kuajiriwa sio kikwazo cha kukwamisha ndoto ulizonazo kama mwanadamu. Mungu amemuumbia kila mwanadamu uwezo binafsi ndani yake na kila mtu ana kitu chake cha kipekee kinachomtofautisha na wengine. Ukikigundua hicho kitu ndani yako na kuanza kukifania kazi, badiliko la kimaisha linachukua nafasi.  Hii imethibitishwa na mjasiriamali Enna Kiondo. Yeye aliajiriwa sehemu mbalimbali lakini alikua akipenda sana mambo ya urembo, mwisho wa siku aliamua kuachana na ajira ya kupokea mshahara hatimaye kujiajiri mwenyewe.

Amethibitisha kuwa pamoja  na kwamba kuna ushindani mkubwa katika soko la urembo, yeye kuna vitu kadhaa vinamfanya awe wa tofauti na kuvutia wateja wake Zaidi.

Usisubiri kuhadithiwa kuhusu namna ya kutoka kimaisha, DFM ina mpango mzuri na wewe kijana mwenye wazo la kujiajiri na hujui ufanye nini. Sikiliza story hii kujifunza mengi yatakayokupa hatua nyingine kuendeleza wazo lako. Bofya (hapa).

 

 

About DFM

Deep Radio FM is an online radio which is dedicated to inspire, motivate and amuse listeners through an eclectic mix of Christian music, educational and social affairs programs and services. DFM is the forum that allows all people from all works of life to benefit from deep knowledge on issues that can promote positive social change and transform people’s destinies but typically lack media access and continuity. It is registered in Tanzania with having radio license from TCRA

Our vision: To provide our esteemed listeners with deep and exceptional divine services in the world of digital content.

Our mission: To produce compelling content that inspires, motivate and encourages people to have purposeful relationship with God and have their Destinies divinely transformed.

Our story: Deep FM is basically originated from Luke 5:4 which says, ‘When He had finished speaking, He said to Simon, “Launch out into the deep, and let down your nets for a catch.”

Our Values:

  • We Trust in God. Our faith, trust, and hope is in Christ. God’s Word guides our decisions, refreshes us, and creates within us an unshakable faith. Our dependence on God is reflected in our commitment to prayer.
  • We Learn, Improve, and Grow. We challenge and stretch ourselves, each other and the whole Deep Community to realize the full potential God has graced us with.
  • We create an Extraordinary Impact. We serve an extraordinary God who deserves our all. He allows us to create, produce and share contents with His life-changing message.
  • We are Passionate, Creative, and we do have fun while living a purpose driven life
  • Innovative ideas and solutions, individual initiatives, and team work makes our work and lives more interesting.
  • In His Strength. It’s not about us

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz