Uchungaji na Uimbaji

Kushika mambo mawili sio tatizo japo inaweza kuwa changamoto kwa baadhi ya watu hasa pale ambapo yote yanaonekana kuwa na nguvu. Pengine kama umeamua kufanya jambo zaidi ya moja hakikisha unatambua uwezo wako kama unakuruhusu. Pata ushauri kwa watu waliopitia kwenye njia hiyo ili usipate tabu au kujuta.

Kama unamfahamu Bomby Johnson, sio tu kwamba ni muimbaji wa nyimbo za injili lakini pia ni mchungaji anayechunga kanisa. DFM ilikutana na mchungaji huyu kupitia D-HITS na ilitamani kujua jinsi anavyoweza kufanya vitu vyote hivyo hali ya kuwa anachunga kanisa. Mchungaji Bomby Johnson hakusita kueleza historia ya maisha yake mpaka kufikia hatua hiyo ya kuwa mchungaji na muimbaji. Sikiliza habari hii kwa kubofya hapa chini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz