Siri iliyojificha katika ukristo sasa yafichuka. Wapo wakristo wengi ambao wanaamini katika Kristo lakini hawajui nini kimejificha katika ukristo. Ukiona hujui siri hiyo ni ipi jaribu kujiuliza kama wewe ni mkristo kweli? Imani yako imesimamia wapi?

Mchungaji Alex William Kishimba ametoboa siri hiyo baada ya kuona wakristo wengi wanaangamia, hivyo aliamua kuchukua nafasi hiyo kuja DFM kuueleza umma na kuwatoa watu katika  giza hilo. Lile neno linalosema Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa limekuwa likionekana la kawaida na wakristo wengi wanalitumia sana lakini wanasahau kama hata kutojua siri iliyojificha katika ukristo wake au kwanini wewe ni mkristo huko pia ni kukosa maarifa.

Kama kweli unatamani kubadilika na kujua umebeba siri gani hutaacha kusikiliza ujumbe huu mzito ambao mtumishi wa Mungu amejitoa kwa moyo wa dhati kabisa kukusaidia kupitia kipindi cha D-IBADA, ni hapahapa wala usitoke.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz