Wakati changamoto zinapowasonga watu na kufawanya wasione mwelekeo wowote, wengi huona suluhisho kubwa ni kuondoka duniani hivyo hupelekea kitendo cha kujitoa uhai wao. Zipo sababu kadhaa zinazopelekea watu kujiua lakini kabla hujafanya jambo hilo jaribu kujiuliza faida ya kujiua ni nini na je, ukifa utaelekea wapi?

Kutana na Askofu Steven George Butta akielezea ushuhuda wa maisha yake kwa habari ya kutaka kujiua. Yeye alijikuta kwenye matatizo ambayo yalimfanya apoteze kazi na familia na kukosa msaada, hakuwa na mahali pa kukimbilia hivyo aliamua kuchukua kamba ili ajinyonge kuondokana na matatizo yanayomkabili. Pengine kipi kilimkuta hadi kkufikia uamuzi wa kutaka kujiua? Safari yake baada ya hapo iliendeleaje hadi kuwa Askofu?

Fuatilia mkasa huu unaosisimua kupitia D-TESTIFY kwa kusikiliza hapa.

 

 

About DFM

Deep Radio FM is an online radio which is dedicated to inspire, motivate and amuse listeners through an eclectic mix of Christian music, educational and social affairs programs and services. DFM is the forum that allows all people from all works of life to benefit from deep knowledge on issues that can promote positive social change and transform people’s destinies but typically lack media access and continuity. It is registered in Tanzania with having radio license from TCRA

Our vision: To provide our esteemed listeners with deep and exceptional divine services in the world of digital content.

Our mission: To produce compelling content that inspires, motivate and encourages people to have purposeful relationship with God and have their Destinies divinely transformed.

Our story: Deep FM is basically originated from Luke 5:4 which says, ‘When He had finished speaking, He said to Simon, “Launch out into the deep, and let down your nets for a catch.”

Our Values:

  • We Trust in God. Our faith, trust, and hope is in Christ. God’s Word guides our decisions, refreshes us, and creates within us an unshakable faith. Our dependence on God is reflected in our commitment to prayer.
  • We Learn, Improve, and Grow. We challenge and stretch ourselves, each other and the whole Deep Community to realize the full potential God has graced us with.
  • We create an Extraordinary Impact. We serve an extraordinary God who deserves our all. He allows us to create, produce and share contents with His life-changing message.
  • We are Passionate, Creative, and we do have fun while living a purpose driven life
  • Innovative ideas and solutions, individual initiatives, and team work makes our work and lives more interesting.
  • In His Strength. It’s not about us

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz