ROBERT MPEPA NDANI YA TASNIA YA  FASHION.

Wakati mwingine kwenye maisha unahitaji kubonyeza “button” sahihi ya kufungua maisha unayoyataka. Kushindwa jambo Wakati mwingine sio kwamba hulijui vizuri au una bahati mbaya, Wakati mwingine ni kwamba kuna jambo lako maalum ambalo hujaliona na badala yake unahangaika na lingine.

Kuna picha ambayo kila mtu huwa anakuwa nayo angali mtoto kuhusu baadae yake, bahati mbaya sana mazingira tunayoishi na watu wanaotuzunguka wakati mwingine huchangia kudhoofisha nguvu ya picha hiyo na fahamu zetu huanza kuona kesho nyingine, picha nyingine….lakini kwa Robby alipambana kuitunza picha ya kesho yake pasipo kuruhusu mazingira yaiondoe.

Alianza kujiona kwenye tasnia ya fashion au mitindo toka akiwa shule ya msingi na ni kitu ambacho  alikua anapenda sana, alikua akipenda kuona watu wanavaa wanapendeza kitu ambacho kilimfanya aanze kufuatilia wale wliokua wanajjihusisha na mitindo ili kujifunza zaidi.

Leo Robert Mpepa anapoiishi ndoto yake anatupa funzo kubwa, lakini stori yake inaweza kutumika kama ramani kwa ajili yako hata kama hufanyi fashion ya mavazi kama yeye. Pata story yake kamili (hapa)

 

 

 

About DFM

Deep Radio FM is an online radio which is dedicated to inspire, motivate and amuse listeners through an eclectic mix of Christian music, educational and social affairs programs and services. DFM is the forum that allows all people from all works of life to benefit from deep knowledge on issues that can promote positive social change and transform people’s destinies but typically lack media access and continuity. It is registered in Tanzania with having radio license from TCRA

Our vision: To provide our esteemed listeners with deep and exceptional divine services in the world of digital content.

Our mission: To produce compelling content that inspires, motivate and encourages people to have purposeful relationship with God and have their Destinies divinely transformed.

Our story: Deep FM is basically originated from Luke 5:4 which says, ‘When He had finished speaking, He said to Simon, “Launch out into the deep, and let down your nets for a catch.”

Our Values:

  • We Trust in God. Our faith, trust, and hope is in Christ. God’s Word guides our decisions, refreshes us, and creates within us an unshakable faith. Our dependence on God is reflected in our commitment to prayer.
  • We Learn, Improve, and Grow. We challenge and stretch ourselves, each other and the whole Deep Community to realize the full potential God has graced us with.
  • We create an Extraordinary Impact. We serve an extraordinary God who deserves our all. He allows us to create, produce and share contents with His life-changing message.
  • We are Passionate, Creative, and we do have fun while living a purpose driven life
  • Innovative ideas and solutions, individual initiatives, and team work makes our work and lives more interesting.
  • In His Strength. It’s not about us

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz