LIVE BROADCAST - If it doesn't play automatic in 10 seconds Click play button below​

Latest Shows

Mwarobaini wa dhambi za Ngono kwa vijana Wapatikana

Imekua ni jambo la kawaida hasa kwa vijana wa sasa kufanya ngono wakidhani ni kwenda na wakati na kufikia kuona wale wasiofanya hivyo ni washamba au wanamatatizo kibaiolojia.

Read More

Utumishi wa Kanisa

Maisha uliyonayo yanakutakutambulisha kama nani mbele za waliokuzunguka. Wasifu huo unasadifu majina unayoitwa? Ni wazi kwamba utashtuka hasa kwa wewe ambae unaitwa majina kama vile mbabaishaji, tapeli au muongo....

Read More

Ukongwe ni Uhodari

Ladha ya vitu kongwe je, huwa inakuwa na thamani ileile ukisikiliza wakati ukiwa umeshapita? Labda nikukumbushe ule msemo wenzetu wanasema “old is gold”. Sio mbaya mara moja moja kusikiliza...

Read More

Je imani ya nguvu upo nayo?

Hivi umewahi kufikiri kuna mtu anaweza kupangisha chumba kwa shilingi elfu mbili kwa mwezi? 

Read More

Uthubutu wako upo wapi?

Kama kijana umewahi kujiuliza nguvu yako ya kuthubutu kufanya jambo ipo wapi? Huwa unapata muda wa kutafakari na kujifanyia tathimini kuhusu uwezo binafsi ulionao na jinsi unavyoweza kuutumia kubadilisha...

Read More

Nguvu inayopingana na Mungu

Moja ya vitu ambavyo wengi wanadhani ni kazi kubwa ya kumfurahisha Mungu ni ile hali ya kutumia nguvu nyingi kukemea mapepo.

Read More

Behind The Mic

Annastazia Rugaba

Show Host -D Love

Annastazia is the Managing Director of Deep FM. She has a Master’s degree in Media Practice for International Development. She has worked with the Government and Non-Government Institutions as the Advocacy, Media, Communications and Engagement expert.

Aaron D.Ilani - Muungwana

Show Host - D Ibada

Aaron D. Ilani (Muungwana) is the Program Manager Producer of DFM. He has a bachelors Degree in Mass Communication from Uganda Christian University (UCU). He has worked with Non Governmental Institutions as a Mass Communications and Relationship expert. 

Innocent Mashauri

Show Host D - Hits

Innocent mashauri is the media personality (radio presenter) of Deep FM. He has a vast experience in the media productions industry in Tanzania. He has worked as the online digital operator, Producer of Programs, jingles, promos and advertisements, presenter and host of Radio and TV Programs, video producer and editor, voice over artist and a Christian Journalist.

Amos Kamukuru

Show Host D - Youth

Amos is the legal Manager at Deep FM. He is also a presenter and program host at Deep FM. He graduated his bachelor of laws (LLB Hons) from the University of Dar es salaam – school of law. Amos is gifted, talented and creative. These three attributes have made him to perform better in areas outside his career.

Become our Partner by joining thousands of listeners world wide

Become part of the Deep FM transformers worldwide by tuning to DFM 24/7. You can also subscribe to our online newsletter, or contact  us through email, phone number or social media pages 

dfm.co.tz