LIVE BROADCAST - If it doesn't play automatic in 10 seconds Click play button below​

Latest Shows

Nguvu ya Mungu katika kuokoa ndoa zilizopotea

Suala la mahusiano limekuwa likichanganya sana vichwa vya watu wake kwa waume.

Read More

Uhalisia wa Maisha ya Muziki wa Injili

Msanii yeyote katika jamii anasimama kama kioo cha jamii husika. Haijalishi ni msanii wa tasnia gani iwe muziki, sinema na hata fani nyingine. Wote uwakilisha dhima kuu tatu kuelimisha,...

Read More

Bibi wa miaka 87 katika maisha ya wokovu

Suala la kumtumikia Mungu ni la kila mwanadamu aliyekuwa katika Ulimwengu huu. Maisha ya kumtumikia Mungu daima yakufanya kuwa karibu na Mungu Katika kila jambo.

Read More

Upekee wako ndo Utofauti wako

Vijana wengi wa leo wamekata tamaa kutokana na yale yanayo wazunguka. Wapo wale ambao wamejikataa na kujiona hawafai mbele ya jamii. Kumekuwa na wale wanaofikia hatua ya kulaumu na...

Read More

Siri ya Ukristo Kufichuliwa

Siri iliyojificha katika ukristo sasa yafichuka. Wapo wakristo wengi ambao wanaamini katika Kristo lakini hawajui nini kimejificha katika ukristo. Ukiona hujui siri hiyo ni ipi jaribu kujiuliza kama wewe...

Read More

Jukwaa la Biashara

Teknolojia imeonekana kuzungumziwa sana na wafanya biashara.

Read More

Behind The Mic

Annastazia Rugaba

Show Host -D Love

Annastazia is the Managing Director of Deep FM. She has a Master’s degree in Media Practice for International Development. She has worked with the Government and Non-Government Institutions as the Advocacy, Media, Communications and Engagement expert.

Aaron D.Ilani - Muungwana

Show Host - D Ibada

Aaron D. Ilani (Muungwana) is the Program Manager Producer of DFM. He has a bachelors Degree in Mass Communication from Uganda Christian University (UCU). He has worked with Non Governmental Institutions as a Mass Communications and Relationship expert. 

Innocent Mashauri

Show Host D - Hits

Innocent mashauri is the media personality (radio presenter) of Deep FM. He has a vast experience in the media productions industry in Tanzania. He has worked as the online digital operator, Producer of Programs, jingles, promos and advertisements, presenter and host of Radio and TV Programs, video producer and editor, voice over artist and a Christian Journalist.

Amos Kamukuru

Show Host D - Youth

Amos is the legal Manager at Deep FM. He is also a presenter and program host at Deep FM. He graduated his bachelor of laws (LLB Hons) from the University of Dar es salaam – school of law. Amos is gifted, talented and creative. These three attributes have made him to perform better in areas outside his career.

Become our Partner by joining thousands of listeners world wide

Become part of the Deep FM transformers worldwide by tuning to DFM 24/7. You can also subscribe to our online newsletter, or contact  us through email, phone number or social media pages 

dfm.co.tz