Nguvu inayopingana na Mungu

Moja ya vitu ambavyo wengi wanadhani ni kazi kubwa ya kumfurahisha Mungu ni ile hali ya kutumia nguvu nyingi kukemea mapepo. Pitia tovuti ya Gospel Inspiration Je, unajua kazi ya kutoa mapepo ni kazi ya nani?

Huyu ni mtumishi wa Mungu Aaron Luhamba Mrisho akizungumzia nguvu zinazopingana na Mungu. Anasema kuwa kuna namna ambavyo watumishi au watu wanaomjua Mungu wanaweza kufanya ili kushindana na nguvu mbaya za mapepo. Je, ni namna gani unaweza kukabiliana na nguvu hiyo?

Wakati mwingine hata tabia za ajabu kama vile kuvaa nusu uchi kuna nguvu iliyosababisha nyuma yake. Je ni ipi njia sahihi ya kuwasaidia watu wa namna hiyo? Je, kumfunika nguo mtu ambae kavaa nusu uchi kanisani ni msaada kwake?  Fuatilia somo hili ndani ya DFM katika kipindi cha D-IBADA kwa kubofya (hapa)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz