Thamani ya utu haipo kwenye vitu au mali unazomiliki, haipo kwenye muda ulionao kufanya mambo yako. Moja ya vitu ambavyo wengi wamekuwa wakifanya na kuona kama ni kawaida ni kukumbatia, kuangalia na kulinda baraka alizonazo hasa mali na biashara alizonazo. Wengi wamekua watu wa kusahau kama walimwomba Mungu awakumbuke kwenye maisha yao. Baraka ulizozipata zinafanya usahau kama Mungu ndio chanzo cha kufanikiwa kwako, lakini si hilo tu, unafikia hata kuona waliokuzunguka na walio karibu zaidi na wewe kama wanapoteza muda kwako.

Mwalimu Peter Mitimingi.  Mitimingi kwenye GospoMedia  alieleza kwa uchungu kwamba kuna watu wamekuwa ni wabinafsi kwa waume zao au wake zao baada tu ya kupata mafanikio fulani. Utakuta mume amenunua gari lakini mke hajawahi panda gari lake hata siku moja na wengine wanathubutu hata kukaa mbali na familia zao kwa muda mrefu wakisingizia kazi zimekuwa nyingi na kukosa muda wa kujumuika na wenzi wao, matokeo yake ndoa inakua sio imara.

Penzi ni kitu cha thamani ambacho mwanadamu yeyote anahitaji na si pesa wala mali. Mwalimu Mitimingi alisema kuna watu wengine Mungu hawapi baraka ili kuepusha matatizo kama hayo, hata wapige magoti kuomba sana hawabarikiwi. Pata mwendelezo wa kipindi hiki katika D-LOVE ya DFM ili kujua ndoa imara inafananje kwa kusikiliza (hapa).

 

 

About DFM

Deep Radio FM is an online radio which is dedicated to inspire, motivate and amuse listeners through an eclectic mix of Christian music, educational and social affairs programs and services. DFM is the forum that allows all people from all works of life to benefit from deep knowledge on issues that can promote positive social change and transform people’s destinies but typically lack media access and continuity. It is registered in Tanzania with having radio license from TCRA

Our vision: To provide our esteemed listeners with deep and exceptional divine services in the world of digital content.

Our mission: To produce compelling content that inspires, motivate and encourages people to have purposeful relationship with God and have their Destinies divinely transformed.

Our story: Deep FM is basically originated from Luke 5:4 which says, ‘When He had finished speaking, He said to Simon, “Launch out into the deep, and let down your nets for a catch.”

Our Values:

  • We Trust in God. Our faith, trust, and hope is in Christ. God’s Word guides our decisions, refreshes us, and creates within us an unshakable faith. Our dependence on God is reflected in our commitment to prayer.
  • We Learn, Improve, and Grow. We challenge and stretch ourselves, each other and the whole Deep Community to realize the full potential God has graced us with.
  • We create an Extraordinary Impact. We serve an extraordinary God who deserves our all. He allows us to create, produce and share contents with His life-changing message.
  • We are Passionate, Creative, and we do have fun while living a purpose driven life
  • Innovative ideas and solutions, individual initiatives, and team work makes our work and lives more interesting.
  • In His Strength. It’s not about us

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz