Mwarobaini wa dhambi za Ngono kwa vijana Wapatikana

Imekua ni jambo la kawaida hasa kwa vijana wa sasa kufanya ngono wakidhani ni kwenda na wakati na kufikia kuona wale wasiofanya hivyo ni washamba au wanamatatizo kibaiolojia. Imefika wakati hata vijana wa makanisani wamekuwa hawaogopi na wanataka kuhalalisha dhambi hiyo. Imefikia mahali leo hii ngono imetawala kwa vijana mpaka kufikia hatua ya ngono za jinsia moja.

Imefika mahali binadamu wanazini na wanyama na wanaona ni kawaida kabisa. Ni aibu hata wengine wamefikia hatua ya kufanya ngono na ndugu zao. DFM baada ya kukereketwa na jambo hili iliamua kumtafuta ndugu Dickson Kabigumila na kumuhoji kuhusu swala hili kwasabu yeye ni mtaalam wa maswala ya mahusiano.

Akiongea katika kipindi cha D-YOUTH bwana Dickson alifunguka na kutoa vyanzo vya dhambi za ngono kwa vijana. Hakuishia hapo tu lakini alitoa athari zake na suluhisho la namna ambavyo swala hili linaweza kuisha na anafundisha haya sababu yeye ni alikua muhanga kwenye mazingira hayo. Baki hapahapa kusikiliza kipindi hiki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz