Moja ya kigezo cha mke mwenye tabia njema, ambayo yawezekana wengi hawajui ni kigezo cha uzalishaji. Naposema uzalishaji simaanishi uwezo wa kubeba ujauzito bali ni uwezo wa kuwasilisha mawazo katika utendaji na kuleta matokeo. Wewe kama mwanamke mwenye ndoa, umewahi kujiuliza umekuwa sababu ya mme wako kufanikiwa au kurudi nyuma? Je, umeweza kuunga mkono maono ya mme wako kwa kiasi gani ili kufikia ndoto alizonazo kwa familia?

Ukiona mwanaume ana maendeleo basi jua kuna mwanamke mwenye nguvu nyuma yake. Haya ni maneno ya Sylvester Paul, mmoja wa wataalam wa mambo ya mahusiano, ndoa na saikolojia   Kuna kitu wanandoa wengi wanafeli ndio maana mahusiano na ndoa zinakuwa na matatizo sababu ya kudhani kuwa wanajuana kumbe hawaelewani. Kuna tofauti kubwa kati ya kumjua mtu na kumwelewa mtu, wanandoa wengi wanajuana lakini hawaelewani, hapo ndo tatizo linapoanzia.

Ndoa zenye mafanikio ni zile ambazo mwanaume ameoa kwa kuangalia kile alichonacho mwanamke ambacho kitaweza kumsaidia kutimiza ndoto alizonazo na si kuangalia sura ama umbo alilonalo. Akili aliyonayo mtu ndio kigezo kikubwa cha kuangaliwa wakati wa kuingia kwenye ndoa. Mwanamke ni kiwanda cha kuzalisha mafanikio. Je, unatamani kuelewa zaidi kilichozungumzwa? D-Love imebeba somo kamili.

 

About DFM

Deep Radio FM is an online radio which is dedicated to inspire, motivate and amuse listeners through an eclectic mix of Christian music, educational and social affairs programs and services. DFM is the forum that allows all people from all works of life to benefit from deep knowledge on issues that can promote positive social change and transform people’s destinies but typically lack media access and continuity. It is registered in Tanzania with having radio license from TCRA

Our vision: To provide our esteemed listeners with deep and exceptional divine services in the world of digital content.

Our mission: To produce compelling content that inspires, motivate and encourages people to have purposeful relationship with God and have their Destinies divinely transformed.

Our story: Deep FM is basically originated from Luke 5:4 which says, ‘When He had finished speaking, He said to Simon, “Launch out into the deep, and let down your nets for a catch.”

Our Values:

  • We Trust in God. Our faith, trust, and hope is in Christ. God’s Word guides our decisions, refreshes us, and creates within us an unshakable faith. Our dependence on God is reflected in our commitment to prayer.
  • We Learn, Improve, and Grow. We challenge and stretch ourselves, each other and the whole Deep Community to realize the full potential God has graced us with.
  • We create an Extraordinary Impact. We serve an extraordinary God who deserves our all. He allows us to create, produce and share contents with His life-changing message.
  • We are Passionate, Creative, and we do have fun while living a purpose driven life
  • Innovative ideas and solutions, individual initiatives, and team work makes our work and lives more interesting.
  • In His Strength. It’s not about us

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz