Pumzi ambayo unayo ni sababu ya mapenzi ya Mungu, afya ulionayo pia ni sababu ya ulinzi wa Mungu. Kila kukicha adui ana agenda zake dhidi yako, lakini unashangaa siku zinaenda haulegei, hauangamii, haugharikishwi. Ni Mungu tu anatulinda usiku na mchana. Umewahi kujiuliza kama sio Mungu kuweka ulinzi wake kwako ungekuwa katika hali gani? Moja ya vitu tunatakiwa kuvipa kipaumbele ni kumshukuru Mungu kwa ulinzi anaotupa bure kabisa.

 

Msikilize mama Blessings ambaye alipatwa na jaribu la kupotelewa na mtoto wake aitwaye Beauty. Sio tu mzazi lakini inapotokea taarifa ya mtu kupotea tena katika mazingira tatanishi, ukiwa mtu au ndugu wa karibu unaweza ukahisi hali ya kizunguzungu unachokipata. Wazazi wa Beauty walipopata taarifa za upotevu wa mtoto wao walihisi kuchanganyikiwa lakini hawakuruhusu kuchanganyikiwa kuwatawale waliamua kumtumainia Mungu na kuanza kufanya maombi ya mtoto kupatikana.

 

Hakika maombi ni silaha ambayo inaweza kusababisha miujiza na kudhihirisha utukufu wa Mungu.

Je, wajua jambo gani lilitokea hadi mtoto kupatikana tena akiwa mzima na mwenye afya kabisa. Fuatilia kisa hiki katika kipindi cha D-TESTIFY kwa kubonyeza (hapa).

 

About DFM

Deep Radio FM is an online radio which is dedicated to inspire, motivate and amuse listeners through an eclectic mix of Christian music, educational and social affairs programs and services. DFM is the forum that allows all people from all works of life to benefit from deep knowledge on issues that can promote positive social change and transform people’s destinies but typically lack media access and continuity. It is registered in Tanzania with having radio license from TCRA

Our vision: To provide our esteemed listeners with deep and exceptional divine services in the world of digital content.

Our mission: To produce compelling content that inspires, motivate and encourages people to have purposeful relationship with God and have their Destinies divinely transformed.

Our story: Deep FM is basically originated from Luke 5:4 which says, ‘When He had finished speaking, He said to Simon, “Launch out into the deep, and let down your nets for a catch.”

Our Values:

  • We Trust in God. Our faith, trust, and hope is in Christ. God’s Word guides our decisions, refreshes us, and creates within us an unshakable faith. Our dependence on God is reflected in our commitment to prayer.
  • We Learn, Improve, and Grow. We challenge and stretch ourselves, each other and the whole Deep Community to realize the full potential God has graced us with.
  • We create an Extraordinary Impact. We serve an extraordinary God who deserves our all. He allows us to create, produce and share contents with His life-changing message.
  • We are Passionate, Creative, and we do have fun while living a purpose driven life
  • Innovative ideas and solutions, individual initiatives, and team work makes our work and lives more interesting.
  • In His Strength. It’s not about us

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz