Majaribu yanapokuja yanakufanya ushindwe kusonga mbele au ndo yanakupa nguvu ya kusonga mbele? Mipango uliyopanga inaharibika sababu majaribu yamekusonga? Imani inadhoofika au inaimarika katika majaribu yako? Hayo ni baadhi ya maswali nataka leo ujiulize na kujipima upo upande gani  halafu chukua hatua baada ya kupata majibu.

Wewe ni mtu ambaye unathamani sana lakini sijui kama unaijua thamani yako ipo wapi. Mfano mzuri ni huyu dada ambae DFM ilikutana nae na kuzugumza nae kwa kirefu. Dada huyo alitoa ushuhuda ambao unaeleza namna alivyogundua uthamani wake. Dada huyo anaitwa Joyce Ombeni ambae ni mwimbaji wa nyimbo za injili.

Sikiliza ushuhuda huu, utapata kujifunza mengi yatakayo kusaidia. D-TESTIFY imebaba package ya shuhuda nzito.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz