Kodi ya Shilingi elfu mbili kwa mwezi bado ilikuwa ngumu kuipata

Hivi umewahi kufikiri kuna mtu anaweza kupangisha chumba kwa shilingi elfu mbili kwa mwezi? Kwa uhalisia najua utashangaa nini kinazungumzwa hapa. Ukijaribu kupiga mahesabu ya gharama za ujenzi wa nyumba yako na maisha jinsi yalivyo, hupati jibu kabisa na wala hutegemei kupangisha mtu kwa shilingi elfu mbili.

Ndiyo, kuna wapangaji wanapitia changamoto ngumu sana za maisha lakini mwenye nyumba atavumulia changamoto za watu wote? Sio wajibu wake. Lakini Wakati mwingine Mungu humchagua mtu mmoja na kumfanyia upendeleo fulani ili kumjengea ushuhuda kwa ajili ya utukufu wa Mungu.

Hii ni sehemu ya maisha ambayo mwimbaji Edson Mwasabwite aliyaishi baada ya wazazi wake kufariki. Alianza kujitegemea, akapata nyumba ya kupanga kwa shilingi elfu mbili kwa mwezi lakini hatahivyo hakuiwa rahisi kulipa kodi hiyo. Ni mangapi amaeyapitia mpaka anatoa wimbo wa “NI KWA NEEMA TU”? fuatilia visa na mikasa (hapa).

 

 

About DFM

Deep Radio FM is an online radio which is dedicated to inspire, motivate and amuse listeners through an eclectic mix of Christian music, educational and social affairs programs and services. DFM is the forum that allows all people from all works of life to benefit from deep knowledge on issues that can promote positive social change and transform people’s destinies but typically lack media access and continuity. It is registered in Tanzania with having radio license from TCRA

Our vision: To provide our esteemed listeners with deep and exceptional divine services in the world of digital content.

Our mission: To produce compelling content that inspires, motivate and encourages people to have purposeful relationship with God and have their Destinies divinely transformed.

Our story: Deep FM is basically originated from Luke 5:4 which says, ‘When He had finished speaking, He said to Simon, “Launch out into the deep, and let down your nets for a catch.”

Our Values:

  • We Trust in God. Our faith, trust, and hope is in Christ. God’s Word guides our decisions, refreshes us, and creates within us an unshakable faith. Our dependence on God is reflected in our commitment to prayer.
  • We Learn, Improve, and Grow. We challenge and stretch ourselves, each other and the whole Deep Community to realize the full potential God has graced us with.
  • We create an Extraordinary Impact. We serve an extraordinary God who deserves our all. He allows us to create, produce and share contents with His life-changing message.
  • We are Passionate, Creative, and we do have fun while living a purpose driven life
  • Innovative ideas and solutions, individual initiatives, and team work makes our work and lives more interesting.
  • In His Strength. It’s not about us

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz