Mathayo 21:12-13, inasema “Yesu akaingia ndani ya hekalu, akawafukuza wote waliokuwa wakiuza na kununua hekaluni, akazipindua meza za wabadili fedha na viti vyao waliokua wakiuza njiwa, akawaambia imeandikwa nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala, bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi”. Mat. 21.12-13

Kumekuwa na wimbi kubwa la madarasa ya kijasiriamali katika makanisa na pia imekuwa kawaida hata kuwaita au kuwaalika wajasiriamali waje kufundisha makanisani. Imekuwa kama fashion (mtindo) makanisa mengi kuwa na semina za ujasiriamali kuhakikisha wapendwa nao wanatoka kimaisha. Tulipata nafasi ya kuongea na Askofu Elias Mweta, ili tutafute ukweli hasa ni upi au hasa  Yesu alikuwa na maana gani alipopindua meza hekaluni.

Je, ni sahihi kufanya au kuendesha midahalo, mijadala au semina za ujasiriamali makanisani? Nini mtazamo wa Askofu Elias katika swala la ujasiriamali makanisani? Kama Mkristo unatamani kujua ukweli sahihi ni upi? Ungana nasi katika D-Ibada ya DFM.

 

About DFM

Deep Radio FM is an online radio which is dedicated to inspire, motivate and amuse listeners through an eclectic mix of Christian music, educational and social affairs programs and services. DFM is the forum that allows all people from all works of life to benefit from deep knowledge on issues that can promote positive social change and transform people’s destinies but typically lack media access and continuity. It is registered in Tanzania with having radio license from TCRA

Our vision: To provide our esteemed listeners with deep and exceptional divine services in the world of digital content.

Our mission: To produce compelling content that inspires, motivate and encourages people to have purposeful relationship with God and have their Destinies divinely transformed.

Our story: Deep FM is basically originated from Luke 5:4 which says, ‘When He had finished speaking, He said to Simon, “Launch out into the deep, and let down your nets for a catch.”

Our Values:

  • We Trust in God. Our faith, trust, and hope is in Christ. God’s Word guides our decisions, refreshes us, and creates within us an unshakable faith. Our dependence on God is reflected in our commitment to prayer.
  • We Learn, Improve, and Grow. We challenge and stretch ourselves, each other and the whole Deep Community to realize the full potential God has graced us with.
  • We create an Extraordinary Impact. We serve an extraordinary God who deserves our all. He allows us to create, produce and share contents with His life-changing message.
  • We are Passionate, Creative, and we do have fun while living a purpose driven life
  • Innovative ideas and solutions, individual initiatives, and team work makes our work and lives more interesting.
  • In His Strength. It’s not about us.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz