Je ni sahihi kwa kijana wa kike kumfuata kijana wa kiume na kumwambia anampenda? Katika maisha ya kijana hasa ya yule anaekaribia kuoa au kuolewa, kuna style ama mitindo mbalimbali ambayo hutumika katika kupata mwenzi. Kuna wale ambao hufunga ndoa sababu ametamani muonekano wa mwenzake, kuna wale ambao wanaingia kwenye ndoa baada ya kuona amechoka maisha ya kujipikia na kujifulia mwenyewe na pia kuna wale wanaingia kwenye ndoa baada ya kufanya maombi na kuridhishwa na jwabu la Mungu.

Dada Siza Mwampamba  ni mwalimu wa maswala ya ndoa na mahusiano ambaye aliweza kuchambua kwa kina jinsi kijana anavyoweza kuchumbia.

Upi ni mtindo sahihi wa kupata mchumba. Kijana na binti wanatakiwa waishi vipi baada ya kuchumbiana, ipi ni misingi sahihi kwenye uchumba na kuelekea ndoa. Makosa yapi vijana wengi wanafanya na madhara yake kiroho yakoje? Ni maandalizi yapi ya kawaida kijana anayejiandaa kuoa anatakiwa kuyaweka sawa kabla hajachukua uamuzi wa kuoa?

Kwa mafundisho zaidi kuhusu uchumba sikiliza D-IBADA kwa kuingia (hapa).

 

 

About DFM

Deep Radio FM is an online radio which is dedicated to inspire, motivate and amuse listeners through an eclectic mix of Christian music, educational and social affairs programs and services. DFM is the forum that allows all people from all works of life to benefit from deep knowledge on issues that can promote positive social change and transform people’s destinies but typically lack media access and continuity. It is registered in Tanzania with having radio license from TCRA

Our vision: To provide our esteemed listeners with deep and exceptional divine services in the world of digital content.

Our mission: To produce compelling content that inspires, motivate and encourages people to have purposeful relationship with God and have their Destinies divinely transformed.

Our story: Deep FM is basically originated from Luke 5:4 which says, ‘When He had finished speaking, He said to Simon, “Launch out into the deep, and let down your nets for a catch.”

Our Values:

  • We Trust in God. Our faith, trust, and hope is in Christ. God’s Word guides our decisions, refreshes us, and creates within us an unshakable faith. Our dependence on God is reflected in our commitment to prayer.
  • We Learn, Improve, and Grow. We challenge and stretch ourselves, each other and the whole Deep Community to realize the full potential God has graced us with.
  • We create an Extraordinary Impact. We serve an extraordinary God who deserves our all. He allows us to create, produce and share contents with His life-changing message.
  • We are Passionate, Creative, and we do have fun while living a purpose driven life
  • Innovative ideas and solutions, individual initiatives, and team work makes our work and lives more interesting.
  • In His Strength. It’s not about us

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz