Fursa katika kalamu

Kila ndege hupenda kutua katika mti aupendao, vilevile maji nayo hutiririka kwa kufuata mkondo. Hii yote ni kutaka kukuonesha kuwa kuna nguvu ya ndani inayomvuta mtu kufanya jambo fulani.  Linapokuja suala la maendeleo na malengo binafsi ni muhimu sana kuiheshimu nguvu hii na watu wengi wanaoziishi ndoto zao ni wale wanaoitii nguvu hii.

Kutana na Nuzulack Dausen, mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Nukta Africa Ltd, hii ni kampuni inayofanya uhariri na uchambuzi wa mtandaoni wa habari mbalimbali.

Kabla ya kuanzisha kampuni hii Nuzulack anakiri kuwa, katu hakuwahi kusomea maswala ya habari lakini alikua ni mtu anayependa kuandika sana. Kalamu kwake ilikua ni fursa iliyomfanya ashindane na kushinda katika mashindano ya uandishi. Kalamu ni mashine nzuri katika kuzalisha mawazo na inaweza kuwa ajira kwako.

Kupitia stori yake na uzoefu utajifunza mengi na utahamasika kufanya mabo makubwa zaidi. Fuatilia story hii kwa kina hapa.

 

 

About DFM

Deep Radio FM is an online radio which is dedicated to inspire, motivate and amuse listeners through an eclectic mix of Christian music, educational and social affairs programs and services. DFM is the forum that allows all people from all works of life to benefit from deep knowledge on issues that can promote positive social change and transform people’s destinies but typically lack media access and continuity. It is registered in Tanzania with having radio license from TCRA

Our vision: To provide our esteemed listeners with deep and exceptional divine services in the world of digital content.

Our mission: To produce compelling content that inspires, motivate and encourages people to have purposeful relationship with God and have their Destinies divinely transformed.

Our story: Deep FM is basically originated from Luke 5:4 which says, ‘When He had finished speaking, He said to Simon, “Launch out into the deep, and let down your nets for a catch.”

Our Values:

  • We Trust in God. Our faith, trust, and hope is in Christ. God’s Word guides our decisions, refreshes us, and creates within us an unshakable faith. Our dependence on God is reflected in our commitment to prayer.
  • We Learn, Improve, and Grow. We challenge and stretch ourselves, each other and the whole Deep Community to realize the full potential God has graced us with.
  • We create an Extraordinary Impact. We serve an extraordinary God who deserves our all. He allows us to create, produce and share contents with His life-changing message.
  • We are Passionate, Creative, and we do have fun while living a purpose driven life
  • Innovative ideas and solutions, individual initiatives, and team work makes our work and lives more interesting.
  • In His Strength. It’s not about us

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz