Unapoona jalala unapata fikra gani? Takataka na mabaki ya vitu mara nyingi huonekana kama vitu visivyofaa kwa matumizi ya aina yoyote. Wakati wewe huoni kitu kwenye taka kuna mwingine anaona fursa kupitia taka hizo unazozipiga teke. Kutana na vijana wa kitanzania walioweza kuanzisha kampuni inayohusika na kutengeneza mbolea ya kurutubisha udongo.

Jicho la mjasiriamali huona fursa hata ndani ya changamoto. Nani angedhani kama mabaki ya matunda na mbomboga yanaweza kumuingizia mtu kipato na kutatua changamoto za jamii? Guavay Company Limited, wameonesha kuwa na jicho la ziada. Pitia mengi zaidi kwenye tovuti yao ya Guavay

Kupitia DFM utajifunza mengi kuhusu biashara. Unaweza kujua namna ya kugeuza changamoto kuwa fursa.  Sikiliza D-BUSINESS kupata taarifa kamili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

dfm.co.tz