Previous Recorded Shows

 • All
 • Breezing Night
 • D - Testify
 • D - Youth
 • D HITS
 • D Morning Prayer
 • Deep Business
 • Deep Ibada
 • Deep Kids
 • Deep love
 • Sermons and Teachings

Huyu ndiye Mtumishi wa Mungu mwenye tuzo ya malkia wa Nguvu

Takwimu za usawa wa kijinsia katika ajira zinaonyesha kwamba kufikia mwaka wa 2014 Watanzania milioni 2.1 walikuwa wameajiriwa katika sekta rasmi , ikiwa ni pamoja na serIkalini na sekta binafsi, kwa mujibu wa kituo cha taifa cha takwimu. Hata hivyo takwimu rasmi za serikali zinaonyesha pia kwamba zaidi ya 60% ya wanawake walio kati ya...

Read More

Mchango wa Mahusiano kwenye Sanaa ya Muziki

Mahusiano uchukua nafasi kubwa sana katika maisha ya binadamu. Kwa namna moja ama nyingine suala la Mahusiano linaweza kuwa na matokeo chanya lakini wakati mwingine linaweza kuleta matakeo hasi kutoakana na jinsi wahusika watakavyolichukulia. Ni jambo la kawaida kwa siku za hivi karibuni kuona kuwa baadhi ya wasanii wa Muziki wa Bongo Flava na hata...

Read More

Msikilize Producer wa Angel Benard wa “Siteketei”

Kwenye kazi za muziki kuna kitu kinaitwa lebo (label), wanamuziki wanajua naongelea nini hapa.

Read More

Mapito ya maisha ya Bi Christina Kimani

Ukiwa kama binadamu unaweza kupitia mapito mbalimbali. Unaweza kupitia magumu mengi ambayo kwa namna moja ama nyingine yanaweza kukurudisha nyuma. Yote haya ni sehemu ya majaribu kama binadamu. Lakini wale waliopitia mapito hayo na bado hawakumuacha Mungu basi walipata kuiona kesho yao. Kutana na shujaa wa siku Bi. Christina Joseph Kimani maarufu sana kwa jina...

Read More

Je, unajua kuwa upekee wako ndio utofauti wako?

Umewahi kujiuliza kwanini umeumbwa John na si Hamisi au kwanini umeumbwa Asha na si Rose?.

Read More

Nini Umuhimu wa Kwaya kwenye makanisa?

Kwa kipindi cha miaka ya nyuma kwaya ndio ilikuwa nembo ya kanisa na umuhimu wa kwaya ulionekana, kwaya ndio iliyokuwa inatambulisha kanisa.

Read More

Uwekezaji na uendashaji wa biashara ya Gesi nchini

Nishati ya gesi asilia imesambaa kote duniani na watu wengi wamekua wakitumia gesi katika shughuli zao za kila siku.

Read More

Nguvu ya Mungu katika kuokoa ndoa zilizopotea

Suala la mahusiano limekuwa likichanganya sana vichwa vya watu wake kwa waume.

Read More

Uhalisia wa Maisha ya Muziki wa Injili

Msanii yeyote katika jamii anasimama kama kioo cha jamii husika. Haijalishi ni msanii wa tasnia gani iwe muziki, sinema na hata fani nyingine. Wote uwakilisha dhima kuu tatu kuelimisha, kuhabarisha na hata kuburudisha. Japo ufikishaji ujumbe kwa jamii utofautiana kulingana na fani husika ya msanii husika. Kwa kipindi cha karibuni wasanii wa nyimbo za Injili...

Read More

Bibi wa miaka 87 katika maisha ya wokovu

Suala la kumtumikia Mungu ni la kila mwanadamu aliyekuwa katika Ulimwengu huu. Maisha ya kumtumikia Mungu daima yakufanya kuwa karibu na Mungu Katika kila jambo.

Read More

Upekee wako ndo Utofauti wako

Vijana wengi wa leo wamekata tamaa kutokana na yale yanayo wazunguka. Wapo wale ambao wamejikataa na kujiona hawafai mbele ya jamii. Kumekuwa na wale wanaofikia hatua ya kulaumu na kukufuru kwanini alikuepo duniani. Huo ni upande mmoja ambao ni mgumu kwa kijana ambae anapita katika mazingira  magumu. Tuje upande wa pili sasa kwa wale ambao...

Read More

Siri ya Ukristo Kufichuliwa

Siri iliyojificha katika ukristo sasa yafichuka. Wapo wakristo wengi ambao wanaamini katika Kristo lakini hawajui nini kimejificha katika ukristo. Ukiona hujui siri hiyo ni ipi jaribu kujiuliza kama wewe ni mkristo kweli?

Read More

Jukwaa la Biashara

Teknolojia imeonekana kuzungumziwa sana na wafanya biashara.

Read More

Jinsi ya Kupata Mume Mwema

Ukisoma katika biblia  kitabu cha MWANZO 2:18 inasema Bwana Mungu akasema, si vyema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae.

Read More

Kemea Pepo

Moja ya vitu ambavyo watu wengi wanaangalia kwenye nyimbo za injili ni maudhui ya wimbo huo. Kumekuwa na mijadala tofauti tofauti kuhusu nyimbo za injili na maudhui yake. Ukiacha maudhui hayo kuna mavazi pia ambayo huwa wainjilishaji ama waimbaji wa nyimbo za injili mengine yamekuwa maswali kwa watu, mengine yamekuwa majibu lakini mengine yamekuwa sintofahamu....

Read More

Maisha baada ya Utajiri

Safari yoyote huwa na mwanzo wake lakini kuna wale ambao hawafiki mwisho, wengine wanabadili uelekeo na wengine humaliza vizuri safari. Kwenye maisha kuna kitu kinaitwa kujiongeza. Katika kujiongeza huko kuna kutumia njia za mkato au njia ya moja kwa moja ili kufanikisha kile ulichodhamiria. Alex William Kishimba ni mchungaji ambae alipitia katika maisha ya utajiri...

Read More

Zitambue sifa za Mtumishi wa Mungu wa kweli

Ni Maisha uliyonayo yanakutakutambulisha kama nani mbele za waliokuzunguka?.

Read More

Uchungaji na Uimbaji

Kushika mambo mawili sio tatizo japo inaweza kuwa changamoto kwa baadhi ya watu hasa pale ambapo yote yanaonekana kuwa na nguvu.

Read More

Majaribu ni Mtaji

Majaribu yanapokuja yanakufanya ushindwe kusonga mbele au ndo yanakupa nguvu ya kusonga mbele?

Read More

Mwarobaini wa dhambi za Ngono kwa vijana Wapatikana

Imekua ni jambo la kawaida hasa kwa vijana wa sasa kufanya ngono wakidhani ni kwenda na wakati na kufikia kuona wale wasiofanya hivyo ni washamba au wanamatatizo kibaiolojia.

Read More

Utumishi wa Kanisa

Maisha uliyonayo yanakutakutambulisha kama nani mbele za waliokuzunguka. Wasifu huo unasadifu majina unayoitwa? Ni wazi kwamba utashtuka hasa kwa wewe ambae unaitwa majina kama vile mbabaishaji, tapeli au muongo. Majina unayoitwa hata kama ni kwa utani jaribu kuchunguza maisha yako na tabia ulizonazo. Kwa wale ambao wanaitwa watumishi wakati sio watumishi wajaribu kujichunguza pia. Mtumishi...

Read More

Ukongwe ni Uhodari

Ladha ya vitu kongwe je, huwa inakuwa na thamani ileile ukisikiliza wakati ukiwa umeshapita? Labda nikukumbushe ule msemo wenzetu wanasema “old is gold”. Sio mbaya mara moja moja kusikiliza vitu kongwe hasa katika tasnia ya uimbaji ni kitu ambacho kinakukumbusha wapi tumetoka. Kanisa la TAG Mwenge waliongea na DFM kutupasha habari kuwa kwaya yao imetimiza...

Read More

Je imani ya nguvu upo nayo?

Hivi umewahi kufikiri kuna mtu anaweza kupangisha chumba kwa shilingi elfu mbili kwa mwezi? 

Read More

Uthubutu wako upo wapi?

Kama kijana umewahi kujiuliza nguvu yako ya kuthubutu kufanya jambo ipo wapi? Huwa unapata muda wa kutafakari na kujifanyia tathimini kuhusu uwezo binafsi ulionao na jinsi unavyoweza kuutumia kubadilisha maisha yako? Pale unapogundua unaweza kufanya jambo fulani huwa unachukua hatua gani? Bado kuna ile hali ya vijana wengi kuona kwamba flani ndo anaweza kufanya jambo...

Read More

Nguvu inayopingana na Mungu

Moja ya vitu ambavyo wengi wanadhani ni kazi kubwa ya kumfurahisha Mungu ni ile hali ya kutumia nguvu nyingi kukemea mapepo.

Read More

Fikra zilizo Angavu

Unapoona jalala unapata fikra gani? Takataka na mabaki ya vitu mara nyingi huonekana kama vitu visivyofaa kwa matumizi ya aina yoyote.

Read More

Mahusiano Nje ya Utaratibu

Mashine ni kifaa chochote ambacho hutumika kurahisisha kazi. Mfano kisu ni mashine ambayo hutumika kurahisisha kazi ya kukatakata vitu kama vile nyama, nyanya, matunda n.k.

Read More

Tanzania ya Viwanda ni fursa adhimu ya Ajira

Tatizo la uwepo wa ardhi duni isiyo na rutuba ni wazi kunachochea upatikanaji finyu wa malighafi za uzalishaji.

Read More

Upako wa Kwaya

Waimbaji wengi wa nyimbo za injili inaonekana wametokea kwenye kwaya. Wengine pia huonekana wamejitambua wana vipaji tangu wakiwa wadogo.

Read More

Sakata la Kujiua

Wakati changamoto zinapowasonga watu na kufawanya wasione mwelekeo wowote, wengi huona suluhisho kubwa ni kuondoka duniani hivyo hupelekea kitendo cha kujitoa uhai wao.

Read More

Kujitolea kwenye Ajira

Waswahili wanasema mchumia juani hulia kivulini. Vijana wengi leo wanapohitimu masomo yao hutegemea kupata ajira kwa haraka.

Read More

Kukata Tamaa

Ni vitu vingapi umewahi kupoteza maishani mwako na kusababisha furaha yako kupotea? Ni mara ngapi umekuwa ukifeli katika maisha yako na kufikia kukosa tumaini la maisha?

Read More

Tanzania ya Viwanda ni fursa adhimu ya Ajira

Tatizo la uwepo wa ardhi duni isiyo na rutuba ni wazi kunachochea upatikanaji finyu wa malighafi za uzalishaji. Hii ni fursa kwa jamii kutafuta njia mbadala ya kuendelea kuitunza ardhi kwa ajili ya kilimo endelevu chenye manufaa kwa viwanda. Uwepo wa Sera ya uchumi wa Viwanda nchini ni wazi uzalishaji wa mali ghafi unapaswa kukua...

Read More

Mahusiano Nje ya Utaratibu

Mashine ni kifaa chochote ambacho hutumika kurahisisha kazi.

Read More

 MADAWA YA KULEVYA NA SUMU.

Kutana na Producer Geofrey ajulikanae kwa jina la PG katika kipindi cha D-TESTIFY ndani ya studio za DFM akielezea namna madawa ya kulevya yalivyo muathiri, lakini pia kuponea chuchupu kifo baada ya kula chakula chenye sumu. Nini kilitokea wakati madaktari walikua wamekata tamaa wakijua amefariki.

Read More

SAFARI YA KUMPATA MWENZI WA MAISHA

Kuna wakati muda unafika kijana wa kike ama wa kiume anakua na maswali mengi sana kuhusiana na hatma ya maisha yake hasa upande wa kupanga kuwa na familia. Inawezekana wewe unayesoma makala hii umekua ni miongoni mwa watu wenye maswali kama

Read More

Waimbaji wa nyimbo za injili kuhamahama makanisa

Kile kitendo cha mtu kutokuwa na kanisa maalum ambalo anafahamika hapo ndo nyumbani kwa baba wa kiroho, ni kitendo ambacho kinafanya mtu huyo asieleweke yupo kwenye msimamo gani na anatafuta nini.

Read More

Matatizo katika Uchumba

Umewahi kujiuliza juu ya jina ulilopewa lina maana gani na sababu ipi ilipelekea wewe kupewa jina hilo? Wapo watu wengi ambao wanakubali kuitika wanapoitwa flani lakini hawajui hata chanzo ni nini. Kuna story moja ya kusisimua sana kuhusu muimbaji wa nyimbo za injili ajulikanae kwa jina la Siza Mwampamba DFM ilipata historia yake tangu kuzaliwa kwake mpaka...

Read More

Kanisa na Uchumba

Je ni sahihi kwa kijana wa kike kumfuata kijana wa kiume na kumwambia anampenda?

Read More

“Fedha za kufanya biashara zipo nyingi sana”-Basil Malaki

Baadhi ya watu mbalimbali wamekuwa wakilalamika kupata wakati mgumu katika kufanya biashara zao, wapo wanaoamua kuachana kabisa na biashara zao kutokana na changamoto wanazokumbana nazo katika uendeshaji wa biashara hizo. Ni wazi uendeshaji wa biashara unahitaji misingi, nguzo na kanuni za kibiashara ili uweze kufikia malengo mahususi katika biashara yako, Basil Malaki yeye ni mtaalamu...

Read More

Ndoa Imara

Thamani ya utu haipo kwenye vitu au mali unazomiliki, haipo kwenye muda ulionao kufanya mambo yako. Moja ya vitu ambavyo wengi wamekuwa wakifanya na kuona kama ni kawaida ni kukumbatia, kuangalia na kulinda baraka alizonazo hasa mali na biashara alizonazo.

Read More

Fursa na Tamufo

Kama bado ulikuwa hujui kwenye uimbaji wa nyimbo za injili neema imekuwa kubwa.

Read More

Mtoto aliyepotea kupatikana

Pumzi ambayo unayo ni sababu ya mapenzi ya Mungu, afya ulionayo pia ni sababu ya ulinzi wa Mungu.

Read More

Changamoto mtaji

Changamoto unazokutana nazo kwako ni fursa ama kikwazo? Kama ni kikwazo kwako unatatuaje? Kama ni fursa kwako unaitumiaje?

Read More

Kanisa na Ujasiriamali

Mathayo 21:12-13, inasema “Yesu akaingia ndani ya hekalu, akawafukuza wote waliokuwa wakiuza na kununua hekaluni, akazipindua meza za wabadili fedha na viti vyao waliokua wakiuza njiwa, akawaambia imeandikwa nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala, bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi”.

Read More

Mwanamke ni Kiwanda

Moja ya kigezo cha mke mwenye tabia njema, ambayo yawezekana wengi hawajui ni kigezo cha uzalishaji.

Read More

Fursa katika kalamu

Kila ndege hupenda kutua katika mti aupendao, vilevile maji nayo hutiririka kwa kufuata mkondo.

Read More

Ufeki na Ubandia

Siku zote wanasema rahisi ni gharama, umewahi kununua bidhaa kwa bei rahisi na ukalazimika kununua tena kwasababu haikudumu kama ulivyotarajia?

Read More

Nafasi ya Mwanamke kwenye Utumishi

Imezoeleka kuona wanaume wapo mstari wa mbele katika kufanya huduma mbalimbali kama uchungaji, uaskofu, utume na huduma nyingine pia.

Read More

Je, unazijua faida ya kusajili biashara zako?

Kufanya biashara ni moja ya maamuzi sahihi kwa wengi lakini wengi hawayafanyi haya maamuzi kwa usahihi. Kwa lugha nyingine wanafanya biashara sahihi lakini wanashindwa kuzingatia taratibu sahihi ambazo zinalenga kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara zao. Mtu yeyote anaweza kuamua kuendesha biashara kwa ajili tu ya kutoa bidhaa au huduma kwa mtu mwingine ili kutengeneza faida...

Read More

Kodi ya Shilingi elfu mbili kwa mwezi bado ilikuwa ngumu kuipata

Hivi umewahi kufikiri kuna mtu anaweza kupangisha chumba kwa shilingi elfu mbili kwa mwezi?

Read More

Injili na Muonekano

Muonekano wako unakutambulisha kama nani mbele ya wanaokuzunguka?

Read More

Je unawafahamu Mke Mwema Group?

Mke Mwema ni kundi la wanawake walioko katika agano la ndoa ambalo lilianzia katika facebook na hatimaye kuwa jeshi kubwa ambalo limegusa maisha ya watanzania wengi kwa namna ya kipekee sana.

Read More

Mke Mwema Day 2018

Mke Mwema ni kundi la wanawake walioko katika agano la ndoa ambalo lilianzia katika facebook na hatimaye kuwa ‘jeshi kubwa’ ambalo limegusa maisha ya watanzania wengi kwa namna ya kipekee sana.

Read More

TOFAUTI KATI YA MKE NA MWANAMKE.

Moja ya vitu ambavyo watu wengi tunashindwa kuelewa au kujua ni pale ambapo tunafananisha mke na mwanamke kuwa kitu kimoja. Siri iliyojificha ndani ya mke ambayo inaleta tofauti na mwanamke sasa yawekwa wazi na Dokta Love, ndugu Sylvester Paul ambae ametoa nondo nyingi kuhusu mwanamke na mke.

Read More

UREMBO NI AJIRA.

Kuajiriwa sio kikwazo cha kukwamisha ndoto ulizonazo kama mwanadamu. Mungu amemuumbia kila mwanadamu uwezo binafsi ndani yake na kila mtu ana kitu chake cha kipekee kinachomtofautisha na wengine.

Read More

Je? Unajua unaweza kumiliki kiwanda kwa sh. 2500/=?

Ile ndoto ya kumiliki Kiwanda kwa kila Mtanzania ni wazi si dhana ya nadharia tu bali wapo wanaoitumia fursa hiyo.

Read More

UTUMBO ULIOJIKUNJA KUPONA BILA TIBA

Wakati wewe umekaa na kukumbatia tatizo ulilonalo, kwa wengine hiyo ni fursa ya kupeleka matatizo waliyonayo kwa Yesu. Yesu hana historia ya kushindwa isipokuwa tu watu wengi hawana tabia ya kumkimbilia na kumtegemea.

Read More

MKRISTO NA MIPANGO.

Akili ya kujiongeza ni moja ya kitu ambacho kinawasaidia wengi sana, hata kama umeokoka na umejazwa Roho mtakatifu sio dhambi kuwa na akili ya kujiongeza. Imezoeleka sana kuona kwamba waliookoka ni choka mbaya kimaisha, “hahahahahah” pole sana, acha kupotea na kujidanganya. Ishi kwa mipango halafu utaona  jinsi maisha yako yatakavyobadilika.

Read More

 UNAKUMBUKA UMETOKA WAPI?

Hatua unazopiga kuelekea kule unapotamani kufika ni moja ya maendeleo katika kile unachokifanya. Umewahi kujiuliza kipi umefanya, wapi umetoka, wapi ulianguka, nani alikuunga mkono, unaelekea wapi na umefika wapi? Atosha Kisava ni muimbaji wa nyimbo za injili ambaye amepitia mchakato mrefu kufika hapo alipo. Atosha amesema yeye mpaka amefika pale alipo sasa kuna mahali alitoka....

Read More

 MUZIKI WA INJILI NA UBALOZI.

Moja ya changamoto zinazowapa “taabu sana” waimbaji ni pale wanapokaa kimya kwa muda.  Wengine hudhani wameishiwa. Lakini hapa balozi wa MTN Production Tanzania na muimbaji wa nyimbo za injili, dada Judia Amis, anajibu swali la kwanini kuna ukimya?

Read More

Max Malipo na uchakataji wa miamala ya kielektroniki

Matumizi ya mashine za kuchakata miamala ya kielektroniki nchini Tanzania ni wazi sasa yanazidi kukua siku hadi siku. Licha ya kuwa na changamoto kubwa katika baadhi ya maeneo huduma hii bado inasonga mbele. Mfumo huu wa ulipaji wa fedha kwa kutumia mashine za kieletroniki umekuja kurahisisha mfumo wa malipo ya bidhaa au huduma. Ambapo awali...

Read More

 TABIA SABINI ZA WANAWAKE.

Adam alishawishiwa na mwanamke kula tunda la mti  ambao Mungu alimkataza, Samson alinaswa katika mtego wa Delila, Daud na Suleiman wote hawakuwa na ujanja mbele ya wanawake. Hilo ni kundi moja.  

Read More

ROBERT MPEPA NDANI YA TASNIA YA  FASHION.

Wakati mwingine kwenye maisha unahitaji kubonyeza “button” sahihi ya kufungua maisha unayoyataka. Kushindwa jambo Wakati mwingine sio kwamba hulijui vizuri au una bahati mbaya, Wakati mwingine ni kwamba kuna jambo lako maalum ambalo hujaliona na badala yake unahangaika na lingine.

Read More

MSIBA USIO NA KILIO

Sio kawaida kwa mtu kushindwa kulia kwenye msiba hasa kwa aliyeondokewa na mpendwa wake wa karibu.  Lakini hali ilikuwa tofauti kwa muimbaji wa nyimbo za injili Bahati

Read More

MUIGIZAJI AU MCHUNGAJI.

Pastor Emmanuel Myamba ni msanii ambaye amekuwa maarufu kwa jina la Pastor Myamba kutokana na filamu alizocheza kwenye nafasi ya uchungaji.  Wengi hujiuliza hivi yule ni mchungaji, ana kanisa au?

Read More

MISINGI BORA KATIKA UTUNZI WA NYIMBO ZA INJILI

Sintofahamu nyingi na maswali mengi kuhusu nyimbo za injili za sasa yanachukua nafasi kubwa kwenye mijadala ya nyimbo za injili. Nyimbo bora za Injili 2018 ni nyingi lakini mtu anapokuwa hajajiimarika au kukomaa kiroho hata akiimba kunakuwa na athari ndogo sana zenye uwezo wa kuleta matokeo mazuri. Na pengine zisiwepo  kabisa kwa yule atakaesikia nyimbo...

Read More

AJIRA NDANI  YA KIPAJI.

Hivi una habari kuwa kipaji ni  uwekezaji  tosha wa Mungu ndani ya maisha ya mwanadamu. Kwa nini wengi hawajui uwezo walionao na kuutumia kufanya mambo makubwa na jinsi gani wanaweza kubadilisha jamii kupitia vipaji vyao?

Read More

KUMSIFU MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI

Kusifu ni kumwinua Mungu juu ya kila kitu. Kumsifu Mungu yawapasa wale wanyofu wa moyo. Kumsifu Mungu ni kitu cha muhimu sana sababu Mungu hushuka kwenye sifa. Hivyo swala la sifa kanisani linatakiwa lisiwe la mda mfupi, ni vizuri kupata muda mrefu wa kumsifu Mungu.

Read More

WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI NI WASANII?

Betty Barongo ni muimbaji wa nyimbo za injili na ni mjasiriamali (mfanya biashara). DFM katika kipindi cha D-HITS iliweza kufanya interview na kumuhoji maswala mbalimbali yahusuyo muziki wa injili na mitazamo yake ni kama

Read More

MUDA KAMA RASILIMALI

Muda ndo ambao unaamua matokeo ya vitu/utendaji wa maisha ya kila siku. Changamoto kwa vijana wengi ni kutokujua namna sahihi ya matumizi ya muda. Ni rahisi sana mtu kujiridhisha kuwa bado kuna  mda wa kutosha kufanya mipango mingi.

Read More

NDOA NI AGANO

Kuoa sio tukio, ni agano la kuishi na mwenzi wako siku zote za maisha yako.

Read More

D- Youth, August 2018

Jinsi Jeremiah Mwanjoka alivyoweza kununua kiwanja na kufungua kampuni yake akiwa bado chuoni

Read More

D-Morning Prayers

what do you tell yourself every morning as you start the day?​​ At Deep FM we start our day like David. He said in Psalm 118:24 This is the day that the Lord has made and I will rejoice and be glad in it. We want to talk to you about your day and pray for your day. With you everymorning from 05am to 06am

Read More

D-Morning Prayers

Read More
what do you tell yourself every morning as you start the day?​​ At Deep FM we start our day like David. He said in Psalm 118:24 This is the day that the Lord has made and I will rejoice and be glad in it. We want to talk to you about your day and pray for your day. With you every morning from 05am to 06am

D – Hits

Read More
For latest Gospel hits, current news about Christian music, the lives of our singers, deep knowledge about the praise and worship ministry, stay tuned to Deep FM transforming your Destiny. Exclusive Deep Hits comes to you every Saturday from 02pm till 05pm

D-Youth

The youth in Tanzania are facing so much challenges in their day to day lives. They struggle a lot to sail through childhood to adulthood. It’s unfortunate that they are not taking part in most of the boardrooms that decides their destinies. Youth under 15 years of age comprise 45 percent of Tanzania’s population of over 53 million people (UN Population Division, 2015).

Read More

Deep Ibada

Proverbs 16 says the preparations of the heart in man, and the answer of the tongue, is from the Lord. How do you prepare your Sunday service? Are you an usher? A pastor? An apostle? a prophet? an evangelist? a teacher? A deacon? A bishop? Or a cleaner in the church? Whatever position you have in the Kingdom of God, you deserve the best tips to do the best for the Glory of God. DFM brings you deep tips and knowledge on how to get the best out of your service in the Kingdom. Join us every Saturday from 7pm to 9pm

Read More

Deep Kids

At Deep FM we believe that It is never too late to have a happy childhood. We know that a child’s brain works in a very different way than an adult’s does. Children’s minds are like a sponge, soaking up huge amounts of information from the environment. They absorb everything around them, effortlessly, continuously, and indiscriminately.

Read More

Breezing night

This is a daily night show that guarantees your overnight companionship. How was your day? Are you lonely? Worried? Thinking about tommorrow? not sure of your destiny? anxious about anything in life? not certain about eternity?

Read More

Breezing night

This is a daily night show that guarantees your overnight companionship. How was your day? Are you lonely? Worried? Thinking about tommorrow? not sure of your destiny? anxious about anything in life? not certain about eternity?

Read More

Siri ya zawadi katika mahusiano ya kimapenzi

Ungana na Annastazia Rugaba na Mwalimu Lilyan Omary kujua jinsi ya kujiandaa kabla ya kuoa au kuolewa

Read More

Join Our Newsletter

Subscribe to receive info on our latest news and episodes

dfm.co.tz