D – Youth

MUDA KAMA RASILIMALI

Muda ndo ambao unaamua matokeo ya vitu/utendaji wa maisha ya kila siku. Changamoto kwa vijana wengi ni kutokujua namna sahihi ya matumizi ya muda. Ni rahisi sana mtu kujiridhisha kuwa bado kuna  mda wa kutosha kufanya mipango mingi. Read More

D- Youth, August 2018

Jinsi Jeremiah Mwanjoka alivyoweza kununua kiwanja na kufungua kampuni yake akiwa bado chuoni

D-Youth

The youth in Tanzania are facing so much challenges in their day to day lives. They struggle a lot to sail through childhood to adulthood. It’s unfortunate that they are not taking part in most of the boardrooms that decides their destinies. Youth under 15 years of age comprise 45 percent of Tanzania’s population of over 53 million people (UN Population Division, 2015).

dfm.co.tz