Deep Ibada

MUIGIZAJI AU MCHUNGAJI.

Pastor Emmanuel Myamba ni msanii ambaye amekuwa maarufu kwa jina la Pastor Myamba kutokana na filamu alizocheza kwenye nafasi ya uchungaji.  Wengi hujiuliza hivi yule ni mchungaji, ana kanisa au? Read More

KUMSIFU MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI

Kusifu ni kumwinua Mungu juu ya kila kitu. Kumsifu Mungu yawapasa wale wanyofu wa moyo. Kumsifu Mungu ni kitu cha muhimu sana sababu Mungu hushuka kwenye sifa. Hivyo swala la sifa kanisani linatakiwa lisiwe la mda mfupi, ni vizuri kupata muda mrefu wa kumsifu Mungu.

Read More

Deep Ibada

Proverbs 16 says the preparations of the heart in man, and the answer of the tongue, is from the Lord. How do you prepare your Sunday service? Are you an usher? A pastor? An apostle? a prophet? an evangelist? a teacher? A deacon? A bishop? Or a cleaner in the church? Whatever position you have in the Kingdom of God, you deserve the best tips to do the best for the Glory of God. DFM brings you deep tips and knowledge on how to get the best out of your service in the Kingdom. Join us every Saturday from 7pm to 9pm

dfm.co.tz