Deep Ibada

Nini Umuhimu wa Kwaya kwenye makanisa?

Kwa kipindi cha miaka ya nyuma kwaya ndio ilikuwa nembo ya kanisa na umuhimu wa kwaya ulionekana, kwaya ndio iliyokuwa inatambulisha kanisa.

Siri ya Ukristo Kufichuliwa

Siri iliyojificha katika ukristo sasa yafichuka. Wapo wakristo wengi ambao wanaamini katika Kristo lakini hawajui nini kimejificha katika ukristo. Ukiona hujui siri hiyo ni ipi jaribu kujiuliza kama wewe ni mkristo kweli? Read More

Zitambue sifa za Mtumishi wa Mungu wa kweli

Ni Maisha uliyonayo yanakutakutambulisha kama nani mbele za waliokuzunguka?. Read More

Utumishi wa Kanisa

Maisha uliyonayo yanakutakutambulisha kama nani mbele za waliokuzunguka. Wasifu huo unasadifu majina unayoitwa? Ni wazi kwamba utashtuka hasa kwa wewe ambae unaitwa majina kama vile mbabaishaji, tapeli au muongo. Majina unayoitwa hata kama ni kwa utani jaribu kuchunguza maisha yako na tabia ulizonazo. Kwa wale ambao wanaitwa watumishi wakati sio watumishi wajaribu kujichunguza pia.

Mtumishi wa Mungu Nyambele Zephania ambae amekulia maisha ya kanisani, anajaribu kueleza mfumo ambao ameishi na kupitia hayo basi utapata kujua mengi.

Unakumbuka wale waliokua wakiitwa maprofesa wakati wanasoma shule za secondary? Wale waliokuwa wakiitwa maripota, walimu, wachungaji na wasanii? Je, wewe ulikua unaitwa jina gani? Kuna athari zozote za kukubaliana na majina Fulani ambayo sio halisi? Fuatilia kipindi hiki cha D-IBADA hapahapa.

Nguvu inayopingana na Mungu

Moja ya vitu ambavyo wengi wanadhani ni kazi kubwa ya kumfurahisha Mungu ni ile hali ya kutumia nguvu nyingi kukemea mapepo. Read More

Kukata Tamaa

Ni vitu vingapi umewahi kupoteza maishani mwako na kusababisha furaha yako kupotea? Ni mara ngapi umekuwa ukifeli katika maisha yako na kufikia kukosa tumaini la maisha? Read More

Kanisa na Uchumba

Je ni sahihi kwa kijana wa kike kumfuata kijana wa kiume na kumwambia anampenda? Read More

Kanisa na Ujasiriamali

Mathayo 21:12-13, inasema “Yesu akaingia ndani ya hekalu, akawafukuza wote waliokuwa wakiuza na kununua hekaluni, akazipindua meza za wabadili fedha na viti vyao waliokua wakiuza njiwa, akawaambia imeandikwa nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala, bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi”. Read More

Nafasi ya Mwanamke kwenye Utumishi

Imezoeleka kuona wanaume wapo mstari wa mbele katika kufanya huduma mbalimbali kama uchungaji, uaskofu, utume na huduma nyingine pia. Read More

MKRISTO NA MIPANGO.

Akili ya kujiongeza ni moja ya kitu ambacho kinawasaidia wengi sana, hata kama umeokoka na umejazwa Roho mtakatifu sio dhambi kuwa na akili ya kujiongeza. Imezoeleka sana kuona kwamba waliookoka ni choka mbaya kimaisha, “hahahahahah” pole sana, acha kupotea na kujidanganya. Ishi kwa mipango halafu utaona  jinsi maisha yako yatakavyobadilika. Read More

dfm.co.tz