D – Testify

UTUMBO ULIOJIKUNJA KUPONA BILA TIBA

Wakati wewe umekaa na kukumbatia tatizo ulilonalo, kwa wengine hiyo ni fursa ya kupeleka matatizo waliyonayo kwa Yesu. Yesu hana historia ya kushindwa isipokuwa tu watu wengi hawana tabia ya kumkimbilia na kumtegemea. Read More

MSIBA USIO NA KILIO

Sio kawaida kwa mtu kushindwa kulia kwenye msiba hasa kwa aliyeondokewa na mpendwa wake wa karibu.  Lakini hali ilikuwa tofauti kwa muimbaji wa nyimbo za injili Bahati Read More

MISINGI BORA KATIKA UTUNZI WA NYIMBO ZA INJILI

Sintofahamu nyingi na maswali mengi kuhusu nyimbo za injili za sasa yanachukua nafasi kubwa kwenye mijadala ya nyimbo za injili. Nyimbo bora za Injili 2018 ni nyingi lakini mtu anapokuwa hajajiimarika au kukomaa kiroho hata akiimba kunakuwa na athari ndogo sana zenye uwezo wa kuleta matokeo mazuri. Na pengine zisiwepo  kabisa kwa yule atakaesikia nyimbo za mtu wa namna hiyo. Ukomavu wa kiroho ni muhimu,, ili nyimbo iwe na nguvu kwa msikilizaji, kupelekea uponyaji, wokovu na amani.

Read More

dfm.co.tz