D HITS

 MUZIKI WA INJILI NA UBALOZI.

Moja ya changamoto zinazowapa “taabu sana” waimbaji ni pale wanapokaa kimya kwa mudaWengine hudhani wameishiwa. Lakini hapa balozi wa MTN Production Tanzania na muimbaji wa nyimbo za injili, dada Judia Amis, anajibu swali la kwanini kuna ukimya? Read More

WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI NI WASANII?

Betty Barongo ni muimbaji wa nyimbo za injili na ni mjasiriamali (mfanya biashara). DFM katika kipindi cha D-HITS iliweza kufanya interview na kumuhoji maswala mbalimbali yahusuyo muziki wa injili na mitazamo yake ni kama

Read More

dfm.co.tz